Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bunge Leo
Nov 16, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38278" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango akihitimisha hoja baada ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Fedha wa mwaka 2018 baada ya kupitishwa na Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38279" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiwasilisha tamko kuhusu mashindano ya pili ya riadha ya wanawake nchini yatakoyofanyika Dar es Salaam kuanzia tarehe 24 na 25/11/2018 leo Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38280" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Huruma Mkuchika(kushoto) wakati wa kikao cha tisa Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38281" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Hanang’I, Mhe. Mary Nagu(kushoto) wakati wa kikao cha tisa Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38282" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akiteta jambo na Naibu Waziri wa Madini, Mhe. Dotto Biteko(kulia) wakati wa kikao cha tisa cha Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_38283" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenyeulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akifuatilia hotuba ya hitimisho la hoja ya muswada wa sheria ya huduma za fedha ya mwaka 2018 wakati wa kikao cha tisa Mkutano wa 13 wa Bunge leo jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, January Makamba.[/caption] [caption id="attachment_38284" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Yusuf Singo (katikati) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete (kulia) na Mbunge wa Same Magharibi, Mhe. Dkt. David Mathayo David.[/caption] [caption id="attachment_38285" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya wageni wa Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wakitambulishwa Bungeni leo jijni Dodoma. Wageni hao ni wanafamilia ya Clouds Media ambao wapo jijini Dodoma kwa ajili ya Tamasha la Fiesta.(Na Mpiga Picha Wetu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi