Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bunge Leo
Jun 08, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_3007" align="aligncenter" width="750"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 08, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3008" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais–(TAMISEMI) Mhe.George Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3009" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk Philip Mpango akisoma Taarifa ya hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2016 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3010" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8, 2017.[/caption] [caption id="attachment_3013" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Mbunge wa Ndanda (CHADEMA) Mhe.Cecil Mwambe katika kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 8, 2017.(Picha zote na Daudi Manongi).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi