Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio katika Maadhimisho ya Miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
Dec 09, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24525" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati wa maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.

[/caption] [caption id="attachment_24519" align="aligncenter" width="707"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akisalimia wananchi wakati wa Maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_24526" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akikagua Gwaride wakati wa Maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.
[/caption] [caption id="attachment_24524" align="aligncenter" width="800"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa orodha majina ya wafungwa aliowapatia msamaha katika sherehe za maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.
[/caption] [caption id="attachment_24521" align="aligncenter" width="800"] Kikosi cha Komando kikionyesha umahiri katika mapambano na adui wakati wa maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.
[/caption] [caption id="attachment_24518" align="aligncenter" width="800"] Katibu wa Tume ya Utumishi wa Waalimu Bi.Wnifrida Rutaindurwa(kushoto) akisoma jarida la nchi yetu linalotolewa na Idara ya Habari Maelezo wakati wa maadhimisho ya miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Mkoani Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi