Matukio kaika Picha za Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Maafisa Habari wa Serikali (TAGCO)
Feb 28, 2024
Matukio mbalimbali katika picha wakati Msemaji Mkuu Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari - Maelezo, Bw. Mobhare Matinyi (kushoto) akiwasilisha mada wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Maafisa Habari wa Serikali (TAGCO) leo Februari 28, 2024 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha.
Na
Administrator