Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Bungeni Leo
Sep 15, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_13873" align="aligncenter" width="863"] Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjela Kairuki akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kunusuru Kaya masikini hapa nchini.[/caption] [caption id="attachment_13876" align="aligncenter" width="971"] Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akitoa ufafanuzi Bungeni kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha huduma za Afya katika vituo na Hosipitali zinazomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika maeneo mbalimbali hapa nchini.[/caption] [caption id="attachment_13879" align="aligncenter" width="964"] Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Tate Ole Nasha akieleza mikakati ya Serikali kukuza Sekta ya Kilimo hapa nchini kwa kuhakikisha kuwa wakulima wanapata pembejeo za Kilimo na mbolea kwa wakati.[/caption] [caption id="attachment_13880" align="aligncenter" width="988"] Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge ajibu maswali ya wabunge leo Bungeni mjini Dodoma kuhusu hali ya upatikanaji wa maji hapa nchini na mikakati ya Serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji.[/caption] [caption id="attachment_13881" align="aligncenter" width="1000"] Mbunge wa Sumve Mhe. Richard Ndasa akizungumza Bungeni mjini Dodoma mapema leo.[/caption] [caption id="attachment_13882" align="aligncenter" width="938"] Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo akisisitiza jambo Bungeni mjini Dodoma mapema leo.(Picha zote na Frank Mvungi- Dodoma)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi