[caption id="attachment_13455" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (Mb) akiwasilisha muswaada wa Sheria ya Reli ya mwaka 2017 Bungeni mjini Dodoma leo.
[/caption]
[caption id="attachment_13456" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjela Kairuki akiteta jambo na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mapema leo Bungeni mjini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_13459" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Jimbo la Nzega mjini mhe. Hussein Bashe akichangia hoja kuhusu muswaada wa Sheria ya Reli ya mwaka 2017 leo Bungeni.
[/caption]
[caption id="attachment_13462" align="aligncenter" width="750"] Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Tulia Ackson akisisitiza jambo leo Bungeni Mjini Dodoma. ( Picha zote na Frank Mvungi- Maelezo Dodoma )[/caption]