Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Bungeni katika picha leo
Nov 13, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_38115" align="aligncenter" width="750"] Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt.Tulia Ackson akiongoza kikao cha sita cha mkutano wa kumi na tatu wa Bunge leo Jijini Dodoma.[/caption]

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt.Damas Ndumbaro akijibu maswali mbalimbali ya wabunge  leo Jijini Dodoma.

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akieleza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano katika Huduma za afya leo Bungeni  Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Juliana Shonza akizungumza jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe.Joseph Mbilinyi Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Kangi Lugola akiteta jambo na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe.Godbless lema leo bungeni Jijini Dodoma. Picha na Maelezo,DODOMA.

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi