[caption id="attachment_7418" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Kiswahili Afrika Mama Salma Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi wa Kamusi Rasmi ya Kiswahili nchini Kenya katika Jengo la Kenya Institute of Curriculum Development, Nairobi, Kenya ambapo ameahidi kuitumia kwamanufaa ya Tanzania, Kenya, East Afrika, Afrika na Duniani kwa Ujumla.[/caption] [caption id="attachment_7423" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiongea wakati wa uzinduzi wa Kamusi Rasmi ya Kiswahili nchini Kenya katika Jengo la Kenya Institute of Curriculum Development, Nairobi, Kenya.[/caption] [caption id="attachment_7426" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Kenya Dkt. Fred Matiang'i, akiongea wakati wa uzinduzi wa Kamusi Rasmi ya Kiswahili nchini Kenya katika Jengo la Kenya Institute of Curriculum Development, Nairobi, Kenya.[/caption] [caption id="attachment_7429" align="aligncenter" width="750"] Balozi wa Kiswahili Afrika Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania, Kenya, Dkt. Pindi Chana (wa kwanza kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Avemaria Semakafu (wa pili kushoto) na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) wakati wa uzinduzi wa Kamusi Rasmi ya Kiswahili leo nchini Kenya. (Na: Mpiga Picha Wetu)[/caption]