Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makosa ya Jinai Yazidi Kupungua: DCI Robert Boaz
Dec 20, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_25327" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Robert Boaz akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mwenendo wa makosa ya jinai leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Nsato Marijani Nzassa na Kamishna wa Rasilimali Watu Fedha na Logistic, Albert Nyamuhanga, na Mkuu wa Kitengo cha Makosa dhidi ya Maadili ya Jamii, Hussein Laissery[/caption] [caption id="attachment_25328" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Robert Boaz akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu mwenendo wa makosa ya jinai leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Nsato Marijani Nzassa na Kamishna wa Rasilimali Watu Fedha na Logistic, Albert Nyamuhanga.[/caption] [caption id="attachment_25329" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Robert Boaz akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mwenendo wa makosa ya jinai leo jijini Dar es Salaam.
Picha na: Frank Shija - MAELEZO[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi