[caption id="" align="aligncenter" width="800"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuifanya Dodoma kuwa kijani kwa kupanda miti iliyofanyika katika Bonde la Mzakwe.[/caption]
[caption id="attachment_25417" align="aligncenter" width="800"]
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu akimwagilia mti wa aina ya Mwamaji( Mdodoma) baada ya kuupanda wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuifanya Dodoma kuwa kijani kwa kupanda miti iliyofanyika katika Bonde la Mzakwe.[/caption]
[caption id="" align="aligncenter" width="800"]
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.January Makamba akizungumza wakati wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuifanya Dodoma kuwa kijani kwa kupanda miti iliyofanyika katika Bonde la Mzakwe.[/caption]
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.Kango Lugola akiburudika pamoja na kikundi cha ngoma kutoka JKT Makutupora wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuifanya Dodoma kuwa kijani kwa kupanda miti iliyofanyika katika Bonde la Mzakwe.[/caption]