Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Awasili Zanzibar
Jan 10, 2024
Makamu wa Rais Awasili Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume – Zanzibar. Leo tarehe 11 Januari 2024, Makamu wa Rais anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Skuli ya Elimu Mjumuisho ya Jendele iliyopo Wilaya ya Kati, Unguja ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Tarehe 11 Januari 2024.
Na Ofisi ya Makamu wa Rais

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi