Makamu wa Rais Awasili Kuongoza Watanzania Maombi Kitaifa
Apr 22, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma ambapo anawaongoza Watanzania katika Dua na Maombi ya kuliombea Taifa ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.
Na
Ofisi ya Makamu wa Rais