Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais Arejea Nchini Akitokea Addis Ababa.
Jul 05, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_5588" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan(katikati) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga(kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bw. Felix Lyaviva aliporejea akitokea jijini Addis Ababa,Ethiopia ambapo alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).[/caption] [caption id="attachment_5584" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan(katikati) akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga(kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bw. Felix Lyaviva aliporejea akitokea jijini Addis Ababa,Ethiopia ambapo alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi