Makamu wa Rais Apokea Gawio la Serikali Kutoka Airtel
Apr 12, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akipokea mfano wa hundi ya shilingi bilioni 143 kutoka kwa kampuni ya Airtel Tanzania ikiwa ni Gawio la Serikali kwa mwaka 2020/2021 hafla iliofanyika katika ukumbi wa Hazina uliopo mkoani Dodoma leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi wa serikali, watumishi wa Wizara ya Fedha, viongozi na wafanyakazi wa Kampuni ya Airtel wakati wa hafla ya upokeaji Gawio la Serikali kutoka kwa Kampuni ya Airtel Tanzania.