Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu wa Rais afungua kongamano la Wanawake
Aug 11, 2017
Na Msemaji Mkuu

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA) linaloendelea jijini Dar es Salaam lenye lengo la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA) linaloendelea jijini Dar es Salaam lenye lengo la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika. kulia ni Bi. Graca Michel, Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela.

[caption id="attachment_8887" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu na Mama Graca Machel wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA) linaloendelea jijini Dar es Salaam lenye lengo la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi