Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wizara za Mifugo na Uvuvi pamoja na Tamisemi mara baada ya kumaliza ufunguzi wa kikao kazi cha Washauri wa Mifugo wa Mikoa na Wakuu wa Idara za Mifugo na Uvuvi kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa (Tamisemi). Januari 17, 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akikata utepe wakati wa kukabidhi jumla ya pikipiki 300 kwa ajili ya kazi za Maafisa Ugani katika Halmshauri 140 hapa nchini. Januari 17, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akijaribu moja ya pikipiki kati ya pikipiki 300 zilizotolewa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa ajili ya kazi za Maafisa Ugani katika Halmshauri 140 hapa nchini. Januari 17, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa 25 mfano wa ufunguo wa Pikipiki zilizotolewa kwa ajili ya kazi za Maafisa Ugani katika Halmashauri 140 hapa nchini. Januari 17, 2022