Makamu wa Rais Afanya Mazungumzo na Waziri wa Singapore
Jun 29, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Singapore, Mhe. Dkt. Vivian Balakrishnan baada ya mazungumzo yaliyofanyika Lisbon nchini Ureno leo tarehe 29 Juni, 2022 yaliyolenga kuongeza ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili hususani katika sekta ya usafirishaji wa majini, biashara pamoja bandari.