Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamishna Wastaafu Polisi Waagwa Rasmi kwa Gwaride
May 11, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_31599" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Mstaafu wa Polisi Clodwing Mtweve akikagua gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake wakati wa hafla maalum ya kumuaga baada ya kustaafu utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika katika Viwanja vya Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_31600" align="aligncenter" width="750"] Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na IGP Mstaafu Omar Mahita wakati hafla maalum ya kuwaaga Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_31597" align="aligncenter" width="683"] Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla maalum ya kuwaaga rasmi Jeshini baada ya kustaafu utumishi ndani ya Jeshi la Polisi. Hafla hiyo ilifanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (Picha na Jeshi la Polisi).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi