Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamanda wa Polisi Wajinoa Kuukabili Ukatili wa Kijinsia
May 09, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_31347" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Makamanda wa Polisi wakisikiliza kwa makini hotuba ya IGP Simon Sirro (hayupo pichani) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.[/caption] [caption id="attachment_31348" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.[/caption] [caption id="attachment_31349" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utu wa Mtoto Bw. Mtengeti Koshuma (kushoto) na Mwakilishi wa UNFPA nchini Bi Christine Mwanukizi (kulia) baada ya kufungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.[/caption] [caption id="attachment_31350" align="aligncenter" width="1000"] Kamishna wa Polisi (Ushirikishwaji wa Jamii) Mussa Ali Mussa akizungumza wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.[/caption] [caption id="attachment_31351" align="aligncenter" width="1000"] Washiriki wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa Mafunzo hayo ya siku mbili ambayo yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto. (Picha na Jeshi la Polisi).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi