Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika Mkoani Katavi
Dec 13, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika mkoani Katavi kwenye ukumbi wa Mpanda Social Hall, Disemba 12, 2022.
Watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika mkoani Katavi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Mpanda Social Hall, Disemba 12, 2022.