[caption id="attachment_34319" align="aligncenter" width="750"]
Wananchi wa Bukene wilayani Nzega wakimshangilia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Taifa wa Bukene kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 17, 2018.[/caption]
[caption id="attachment_34321" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Bukene Selemani Zedi katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye Uwanja wa Taifa wa Bukene Agosti 17, 2018. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tabora, Hassan Kasubi.[/caption]
[caption id="attachment_34322" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Taifa wa Bukene wilayani Nzega, Agosti 17, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]