Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo
Feb 19, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40608" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Februari 19, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga.[/caption] [caption id="attachment_40605" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Februari 19, 2019.[/caption] [caption id="attachment_40606" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo, Februari 19, 2019.[/caption]  

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi