Majaliwa Azungumza na Mabalozi Watakaoiwakilisha Tanzania Katika Nchi Mabalimbali
Oct 04, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi ambao wataiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali, baada ya kuzungumza nao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Oktoba 3, 2021. Kutoka kushoto ni Grace Olotu anayekwenda Sweden, Anisa Mbega anayekwenda India, Luteni Jenerali Yacub Mohammed anayekwenda Uturuki, Meja Generali Richard Makanzo anayekwenda Rwanda, Innocent Shiyo anayekwenda Ethiopia, Hoyce Temu Naibu Balozi Geneva na Togolani Mavura anayekwenda Korea Kusini.