Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Azungumza Katika Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu Jijini Dar Es Salaam
Aug 18, 2020
Na Msemaji Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika  Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu jijini vya Dar es salaam yaliyofanyika  kwenye kumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020.

Wanavyuo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika  Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu vya  jijini Dar es salaam yaliyofanyika  kwenye kumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mic Mdegela ambaye ni Mwanachuo wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere anayesoma kozi ya Menejimenti ya  Rasilimaliwatu baada ya kuzungumza  na kutoa vyeti katika Mahafali ya Vyuo na Vyuo Vikuu vya jijini Dar es salaam yaliyofanyika  kwenye kumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam, Agosti 17, 2020. Kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Taifa, Kheri James.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi