[caption id="attachment_5071" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia Viongozi wa Mikoa yote Nchini walio hudhuria Uzinduzi wa Wakala wa Barabara Vijini na Mijini leo july 2,2017, katika ukumbi wa mikutano Chuo cha Mipango Mkoani Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_5073" align="aligncenter" width="750"] Wakuu wa Mikoa na viongozi mbalimbali wakishuhudia Uzinduzi wa Wawakala wa Barabara Vijijni na Mijini[/caption] [caption id="attachment_5074" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua kitabu cha Muongozo wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini ,katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene ,kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala Barabara Vijini na Mijini Mhandisi Victor Seif .Uzinduzi huo umefanyika leo July 2, 2017 katika ukumbi wa mikutano Chuo cha Mipango Mkoani Dodoma[/caption] [caption id="attachment_5077" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi kitabu cha Muongozo wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini , Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala Barabara Vijini na Mijini Mhandisi Victor Seif, katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene . Uzinduzi huo umefanyika leo July 2, 2017 katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Mipango Mkoani Dodoma[/caption] [caption id="attachment_5078" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi kitabu cha Muongozo wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini , Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala Barabara Vijini na Mijini Mhandisi Victor Seif, katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene . Uzinduzi huo umefanyika leo July 2, 2017 katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Mipango Mkoani Dodoma. (Picha na: OWM)[/caption]