Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua upanuzi wa kiwanda cha Serengeti Breweries mjini Moshi, Septemba 23, 2021. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Serengeti Breweries, John Ulanga , Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai, Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda, Mark Ocitti na Kulia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exhaud Kigahe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakitazama mtambo wa kuzalisha pombe kali iitwayo Bongo Don wakati Waziri Mkuu alipofanya uzinduzi huo. Mjini Moshi, septemba 23, 2021. Wa tatu Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai.
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika hafla ya uzinduzi wa upanuzi wa Kiwanda cha Serengeti Breweries aliofanyika mjini Moshi, Septemba 23, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua upanuzi wa kiwanda cha Serengeti Breweries Mjini Moshi, Septemba 23, 2021