Majaliwa Aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi
Dec 13, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Anold Kashula ambaye ni Msanifu Majengo na Mshauri Mwelekezi kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Tekinolojia Mbeya (MUST ) kukagua mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi iliyopo mjini Mpanda akiwa katika ziara ya kikazi ya mkoa huo, Disemba 13, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi akiwa katika ziara ya mkoa huo, Disemba 13, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Mpanda, Eusabius Nzigilwa baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Disemba 13, 2022. Yupo mkoani Katavi kwa zira ya siku tatu ya kikazi. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Onesmo Buswelu
Muonekano wa jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake na kuweka jiwe la msingi akiwa katika ziara ya kikazi ya mkoa huo.