Majaliwa Aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Madaba Mkoani Ruvuma
Oct 19, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma, Oktoba 19, 2022. Kushoto kwake ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Dkt. Mussa Rashidi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua na kuweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma, Oktoba 19, 2022.
Muonekano wa majengo ya Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua Ujenzi wake na kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo mkoani Ruvuma, Oktoba 19, 2022