Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Awavalisha Vyeo Maafisa wa Magereza Kwa Niaba ya Rais
Jun 12, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_3371" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua gwaride katika hafla fupi ya kuwavalisha Vyeo Maafisa Magereza kwenye uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni 12, 2017. Mheshimiwa Majaliwa alimwakisha Rais John Pombe Mgufuli katika hafla hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

[caption id="attachment_3383" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimvalisha cheo Tusekile Mwaisabila kuwa Naibu Kamishina wa Magereza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni 12, 2017. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika hafla hiyo .[/caption]

[caption id="attachment_3382" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimvalisha Jeremiah Nkondo kuwa Naibu Kamishina wa Magereza katika hafla fupi iliyofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni 12, 2017. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika hafla hiyo.[/caption]

[caption id="attachment_3376" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa magereza aliowavalisha Vyeo kwa Niaba ya Rais John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji, Ukonga jijini Dar es salaam Juni, 12, 2017. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi