Majaliwa Atoa Pole Familia ya Marehemu Kwandikwa na Familia ya Biswad Msuya
Aug 04, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji katika msiba wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Ushetu, Mhe. Elias Kwandikwa, nyumbani kwa marehemu, Kibaha.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Emmanuel Kwandikwa ambaye ni kaka wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mbunge wa Ushetu, Mhe. Elias Kwandikwa, nyumbani kwa marehemu, Kibaha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya wakati alipohani msiba wa Biswad Msuya, Kaka Mkubwa wa Mkurugenzi huyo, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam, Agosti 4, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole familia ya marehemu Biswad Msuya, Kaka Mkubwa wa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya (kushoto) nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam, Agosti 4, 2021.