Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Atembelea Maonyesho ya Ujenzi wa Nyumba
May 31, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_2228" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama picha za nyumba wakati alipotembelea Maonyesho ya Mpango wa ujenzi wa Nyumba za Gharama Nafuu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Mei 30, 2017. Maonyesho hayo yameandaliwa na Muungano wa Vikundi Vya Vicoba Tanzania (VIGUTA) .Kushoto ni Mwenyekiti wa Taifa wa VIGUTA, Dkt. Salmin Ibrahim Dauda.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi