[caption id="attachment_45885" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo uliokuwa unatumika kwenye mawasiliano ya simu hapo zamani wakati alipotembelea makumbusho ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) yaliopo kwenye jengo la EXTELECOMS Jijini Dar es salaam, Agosti 3, 2019. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TTCL, Waziri Kindamba na Kulia ni Meneja wa Huduma kwa Wateja wa TTCL Laibu Leonard.[/caption]