Majaliwa Atembelea Kituo cha Michezo Aspire Kilichopo Doha Nchini Qatar
Mar 23, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire, Tim Cahilll (kushoto) wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Mafunzo ya Mpira wa Miguu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire , Daniel Bonanno (kulia) wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022.