Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Atembelea Kampuni ya Huawei Technologies Iliyopo China
Sep 05, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34835" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maua wakati alipowasili kwenye makao mkuu ya kampuni ya Huawei Technologies yaliyopo Shenzhen nchini China, Septemba 5, 2018. Kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo duniani, Li Da Feng.[/caption] [caption id="attachment_34836" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vifaa vya elektroniki wakati alipotembelea makao makuu ya kampuni ya Huawei Technologiies yaliyopo, Shenzhen nchini China, Septemba 5, 2018. Kulia ni Makamu wa Rais wa Kampuni hiyo Duniani, Li Da Feng . Kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Augustine Mahiga.[/caption] [caption id="attachment_34837" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoka ndani ya jengo la Makao Makuu ya Kampuni ya Huawei Techinologies yaliyopo Shenzhen nchini China baada ya kutembelea Ofisi hizo na kuzungumza na viongozi wa Kampuni hiyo, Septemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi