Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa wenye ulemavu (Tembo Worriors ) wakati alipotembelea kambi ya timu hiyo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa mkoani Dar es salaam, Novemba 25, 2021. Timu hiyo inajiandaa na michuano ya kufuzu Kombe la Dunia kupitia michuano ya Afrika mwaka 2021 inayotarajiwa kufanyika Dar es salaam kuanzia kesho na Tanzania ni Mwenyeji wa michuano hiyo.
Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu kwa wenye ulemavu (Tembo Worriors) wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipotembelea kambi ya timu hiyo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa mkoani Dar es salaam, Novemba 25, 2021. Timu hiyo inajiandaa kufuzu Kombe la Dunia kupitia michuano ya Afrika mwaka 2021 inayotarajiwa kufanyika Dar es salaam kuanzia kesho na Tanzania ni Mwenyeji wa michuano hiyo