[caption id="attachment_47454" align="aligncenter" width="750"]
Baadhi ya wafanyakazi wa Bandari ambao wanashiriki katika upakiaji wa shehena ya Korosho kwenye meli inayosafirisha wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofanya ukaguzi wa usafirishaji huo leo katika Bandari ya Mtwara.[/caption]
[caption id="attachment_47451" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Bw. Renatus Mkinga wakati alipotembelea bandari ya Mtwara kukagua kazi ya usafirishaji wa korosho, Oktoba 1, 2019.[/caption]
[caption id="attachment_47453" align="aligncenter" width="750"]
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa (kushoto) wakati alipokagua kazi ya kusafirisha korosho kwemye bandari ya Mtwara, Oktoba 1, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]