Majaliwa Ashiriki Ujenzi Kituo cha Afya Namichiga, Akagua Ujenzi Shule ya Mandarawe Wilayani Ruangwa
Jun 03, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika ujenzi wa msingi la Kituo cha Afya cha Namichiga kwenye eneo la Mbuyuni wilayani Ruangwa, Juni 3, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika ujenzi wa msingi la Kituo cha Afya cha Namichiga kwenye eneo la Mbuyuni wilayani Ruangwa, Juni 3, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Mandarawe, Mwalimu Ladia Juma (kushoto) kuhusu ujenzi wa Shule hiyo wilayani Ruangwa, Juni 3, 2022.