Majaliwa Apokea Taarifa ya Kamati ya Uchunguzi wa Moto Uliounguza soko la Kariakoo
Jul 28, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya Kamati ya Uchunguzi wa tukio la moto uliounguza Soko Kuu la Kariakoo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo CP Liberati Sabas kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Julai 27, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Uchunguzi wa tukio la moto uliounguza soko la Kariakoo baada ya kupokea taarifa ya Kamati hiyo kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, Julai 27, 2021.