Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Apokea Ripoti ya Uchunguzi wa Salfa
Jun 10, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_3245" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza ripoti ya Mkemia Mkuu wa Serikali , Samwel Manyele (kulia) ya chunguzi wa Salfa kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Juni 10, 2017. Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt, Mathew Mtigumwe.[/caption] [caption id="attachment_3246" align="aligncenter" width="750"] Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele akiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa salfa kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Juni 10, 2017. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt Mathew Mtigumwe. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti wa Ubora wa Bidhaa, Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi