Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Aongoza Mazishi ya Ali Mtopa
Apr 12, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30358" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji katika mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Mkoa wa Lindi, Alhaj, Ali Mtopa katika kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa,[/caption] [caption id="attachment_30359" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji katika mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Mkoa wa Lindi, Alhaj, Ali Mtopa katika kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa,[/caption] [caption id="attachment_30360" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya kumwombea Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Lindi, Alhaj Ali Mtopa wakati aposhiriki katika mazishi ya Mwansiasa huyo yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Aprili 11, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30362" align="aligncenter" width="607"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mazishi ya Mwanasiasa na Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Mkoa wa Lindi, Alhaj Ali Mtopa katika kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Aprili 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi