Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Amwakilisha JPM Katika Sherehe za Kumwapisha Rais wa Malawi
May 31, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43801" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Malawi, Bw. Ben Botolo wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Chileka uliopo Blantyre nchini Malawi kuwakilisha, Rais Dkt John Pombe Magufuli katika sherehe za kumwapisha Rais wa Malawi, Profesa, Arthur Peter Mutharika, Mei 31, 2019.[/caption] [caption id="attachment_43802" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Malawi, Ben Botolo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Chileka uliopo Blantyre Malawi kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika sherehe za kumwapisha Rais wa Malawi, Profesa Arthur Peter Mutharika, Mei 31, 2019.[/caption] [caption id="attachment_43805" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rais wa Malawi, Profesa Arthur Peter Mutharika wakati Rais huyo alipohutubia baada ya kuapishwa kwenye Uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre, Mei 31, 2019. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt John Pombe Magufuli katika sherehe za kumwapisha Rais huyo.[/caption] [caption id="attachment_43806" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa zamani wa Malawi, Bakili Muluzi katika sherehe za kumwapisha Rais wa Malawi Profesa Arthur Peter Mutharika zilizofanyika adana escort eryaman escort adana escort bedava bonus canlı casino istanbul nakliyat kwenye uwanja wa Kamuzu mjini Blantyre, Mei 31, 2019[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi