Majaliwa Akutana na Watendaji Waandamizi wa Benki ya Equity
Jun 09, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watendaji waandamizi wa benki ya Equity, Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Afrika Mashariki na Kati, Dkt. James Mwangi, Dkt. Joanne Korir Mkurugenzi wa Equity Foundation (wa tatu kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Tanzania, Isabella Maganga (Kulia kwa Waziri Mkuu) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Benki ya Equity Afrika Mashariki na Kati, Joy Dibenedetto (wa tatu kulia), baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 9, 2022.