Majaliwa Akutana na Wanafunzi wa Sekondari ya Mvumi, Akutana na Spika Mstaafu na Kamishina wa Sensa ya Watu na Makazi
Jun 10, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Mvumi wilayani Chamwino, Dodoma, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 10, 2022. Wanafunzi hao walikwenda Bungeni kwa ziara ya mafunzo. Kushoto kwake ni Mbunge wa Mvumi, Livingstone Lusinde.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika Mstaafu na Kamishina wa Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 10, 2022