Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) , Patrice Motsepe (wa pili kulia) ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 13, 2021 . Wa pili kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa, kushoto ni Rais wa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia , wa tatu kulia ni Mke wa Rais wa CAF, Precious Motsepe na wa nne kulia ni Katibu Mkuu wa CAF, Veron Mosengo - Omba.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) , Patrice Motsepe ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 13, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) , Patrice Motsepe ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Agosti 13, 2021 . Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa.