Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Majaliwa Akutana na Mkuu wa Majeshi wa India
Jul 28, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_7778" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Majeshi wa India, Admiral Sunil Lanba Ofisini kwake Jijini Dar es salaam Julai 28, 2017. Kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jeneral Venance Mabeyo.[/caption] [caption id="attachment_7779" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Majeshi wa India, Admiral Sunil Lanba Ofisini kwake Jijini Dar es salaam Julai 28, 2017. Kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jeneral Venance Mabeyo.[/caption] [caption id="attachment_7783" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Majeshi wa India , Admiral Sunil Lanba (kulia kwake) pamoja na ujumbe wake, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Julai 28, 2017. Kushoto kwake ni Mkuu wa Majeshi, Jeneral Venance Mabeyo[/caption] [caption id="attachment_7789" align="aligncenter" width="750"] 6042 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Mkuu wa Majeshi wa India, Admiral Sunil Lanba (kulia) baada ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 28, 2017 . Wapili kulia ni Mkuu wa Majeshi Nchini, Jeneral Venance Mabeyo na kushoto ni Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya.[/caption] [caption id="attachment_7792" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi wa India Admiral Sunil Lanba (wapili Kushoto) na Mkuu wa Majeshi nchini, Jeneral Venance Mabeyo (kushoto) baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 28, 2017. Kushoto ni Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya.[/caption] [caption id="attachment_7793" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi wa India Admiral Sunil Lanba (kulia kwake ) na Mkuu wa Majeshi nchini, Jeneral Venance Mabeyo (kushoto kwake ) baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Julai 28, 2017. Kushoto ni Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi