Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC), Dkt. Rochelle Walensky katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 27, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha ya wanyama Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC), Dkt. Rochelle Walensky, alipokutana nae Ofisini kwake, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 27, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC), Dkt. Rochelle Walensky alipokutana nae Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es salaam, Julai 27, 2022.