[caption id="attachment_34249" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Mauritus nchini mwenye makazi yake, Maputo nchini Msumbiji, Jean Pierre Jhumun, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma, Agiosti 15, 2018.[/caption] [caption id="attachment_34250" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Mauritius nchini mwenye makazi yake Maputo nchini Msumbiji, Jean Pierre Jhumun (wapili kulia) na ujumbe wake, Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma Agosti 15, 2018. Wengine kutoka kushoto ni Balozi wa Heshima wa Mauritius nchini, Kazim Rizvi, Mwenyekiti wa Mfuko wa Uwekezaji Sukari nchini Mauritius, Gansam Boodram na watatu kushoto ni Mwenyeji wa ujumbe huo katika jiji la Dodoma, Kapteni Mstaafu John Chiligati.[/caption] [caption id="attachment_34251" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Mauritius nchini mwenye makazi yake Maputo nchini Msumbiji, Jean Pierre Jhumun (wapili kushoto) Balozi wa Heshima wa Mauritius nchini, Kazim Rizvi (kulia), Mwenyekiti wa Mfuko wa Uwekezaji Sukari nchini Mauritius, Gansam Boodram (wapili kulia) na kushoto ni Mwenyeji wa ujumbe huo katika jiji la Dodoma, Kapteni Mstaafu John Chiligati. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]