Majaliwa Akagua Ujenzi wa Nyumba za Makazi za Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma
Jun 09, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua ujenzi wa nyumba za Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika eneo la Kikombo, Dodoma, Juni 9, 2022. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri na kulia ni Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John William Masunga.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokagua ujenzi wa nyumba za Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika eneo la Kikombo, Dodoma, Juni 9, 2022.
Baadhi ya majengo ya nyumba za makazi ya Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Juni 9, 2022