Majaliwa Akagua Ujenzi wa Ikulu Chamwino Jijini Dodoma
Aug 13, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021.
Jengo la Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma linalojengwa na SUMA JKT ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Agosti 13, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa SUMA JKT baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021