Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Bandari ya Karema wilayani Tanganyika Mkoa wa katavi, Agosti 25, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Bandari ya Karema wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi, Agosti 25, 2021. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Eric Hamissi na wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwananvua Mrindoko. Bandari hiyo inatarajiwa kukamilika mwezi machi mwakani